なんとかなるさ~IN TANZANIA

JOCV2018-3野菜栽培隊員 ミスングイ ムワンザ タンザニア

2019-03-01から1ヶ月間の記事一覧

2019.03.23 Jumamosi 52/730

Alhamisi na Ijumaa ya wiki hii, nilishiliki kikao cha pamba katika kijiji cha Ng’ombe na kijiji cha Bugamda. Kuhusu mkopo wa pamba Mkopo umeochukuwa katika wakulima wa pamba lakini watendaji wa vijiji bado hawajaazimia.... Bado sijaweza ku…

2019.03.16 Wiki bili iliopita!

Wiki iliopita nimefika Misungwi na nimeanza uhai wa kujitolea katika Kilimo cha offisi ya halmashauri ya wilaya ya Misungwi. Kwanza nilitengeneza mpango ya shughuli pamoja na mwenzangu. Nitafanya kuwasaidia wakulima bustani, mboji, baada y…

2019.03.09 Nimefika Misungwi

Nimefika Misungwi jana Nilinunua friji, gesi na stovu Na kutoka jana ninakaa nyumba yangu Leo nilinunua ndoo kuweka maji Halafu nilinunua mchele nyanya kabeji na kitunguu badaaye kurudi nymbani nilipika chakula Kesho ninataka kununua tambi…

2019.02.28 Siku 30 imepatiwa

Leo ni tarehe 28 mwezi wa pili mwaka2019 kuwa hiyo imepatiwa siku 30! Halafu wiki ijayo tutakwenda mahati ambapo tutafanya kazi, nitakwenda Misungwi kama Kilimo Kabla ya kwenda Misungwi lazima nifanye presentation kuwa Kiswahili tu Nina wa…