Nimefika Misungwi jana Nilinunua friji, gesi na stovu Na kutoka jana ninakaa nyumba yangu Leo nilinunua ndoo kuweka maji Halafu nilinunua mchele nyanya kabeji na kitunguu badaaye kurudi nymbani nilipika chakula Kesho ninataka kununua tambi…
引用をストックしました
引用するにはまずログインしてください
引用をストックできませんでした。再度お試しください
限定公開記事のため引用できません。