2019.02.28 Siku 30 imepatiwa
Leo ni tarehe 28 mwezi wa pili mwaka2019 kuwa hiyo imepatiwa siku 30! Halafu wiki ijayo tutakwenda mahati ambapo tutafanya kazi, nitakwenda Misungwi kama Kilimo😌
Kabla ya kwenda Misungwi lazima nifanye presentation kuwa Kiswahili tu😱 Nina washi washi saaana Halafu kesho jioni rafiki yangu atakuja hapa Dar es Salaam nitafurahi sana😝